Dagaa wasio na michanga (uchafu) wanapatikana

bugorobi

Senior Member
Joined
Apr 17, 2013
Posts
107
Reaction score
36
Wadau wajasiriamali! nawasalimu!
Nimefanya utafiti na kupata jawabu kuwa watu wanachukia dagaa wa ziwa victoria kwa vile wanaandaliwa katika mazingira machafu na wanakuwa na uchafu! Nimeweka miundo mbinu yakuanika juu ya chanja na kuwatreat kidogo kwa mbali na chumvi kwa ukweli yeyote anaweza kula with a pride! Naanza kuzalisha tarehe 25/6/2014.

Wadau nipeni order na biashara itafanyika kwa kilo na sio viroba wala magunia bei kwa kilo itakuwa ni sh 4000/= tunaweza kujadili kidogo.Tuwasiliane naturlandlake@gmail.com

Karibuni
 
Kigoma ndo wasafi wa siku nyingi - wanaanika dagaa kwenye chanja za wavu wachuma.
 
Kigoma ndo wasafi wa siku nyingi - wanaanika dagaa kwenye chanja za wavu wachuma.

Ni kweli MAKAH uanikaji wa hapa dagaa wa ziwa Victoria imekuwa nikikwazo ila kama ulivyosema na kama kigoma wanavyofanya ndivyo nafanya tofauti yake ni ukubwa tu basi!
BARIBU hata sample utaletewa ukitaka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…