Mtumishitu
Member
- May 2, 2022
- 86
- 139
Mkuu mbona mgunoHahaha mkuu. Huku skendinevia dagaa kilo NI kama laki moja Na nusu kama snacks za mbwa kwenye pet sho
Duu unataka kuniambia bei ni ghari sana kiasi kwamba ili ununue inatakiwa ujipange kidogo.Hahaha mkuu. Huku skendinevia dagaa kilo NI kama laki moja Na nusu kama snacks za mbwa kwenye pet shop na chakula Chet Sisi wahamiaji hasa niggers. Na inaletwa kutoka china na Vietnam.
Serikali ingewasaidia kupata soko huku mngepiga hela ndefu Laana.
Nyau de adriz
China Na Vietnam wanazileta sana. Tena wenyewe NI wakufugwa kwenye mabawa. Eetu wangechangamkiwa kwasababu NI fresh kutoka ziwani.Duu unataka kuniambia bei ni ghari sana kiasi kwamba ili ununue inatakiwa ujipange kidogo.
Nadhani kwa Afrika mashariki serikali inapambana tuwapelekee mboga hizi