Dah, aisee bora miss Tz angekuwa huyu!!!

Lexus SUV

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2016
Posts
4,493
Reaction score
5,591


Kisura toka jiji la miamba a.k.a official Mwanza city. Mtoto yuko bomba, figure matata mpaka akili ikacheza. Kimombo aliongea fresh mashaallah.

Sijui kwanini hakushinda ila elimu yake iko bomba, Form 4 (O- level) alimaliza St. Joseph Girls Seminary iliyopo Mwanza 2012 na Form 6 yake alimaliza Nganza Girls High School iliyopo jijini Mwanza mwaka 2015 mchepuo wa EGM.

Ila hongera tu dada yangu Maria Peter, that is how life goes.
 
Shule tulikua tunamwita mary mrembo...

Asee alkua anapenda kujipodoa...

Ni kablaq beauty kacute..
[emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5] etiii eehe dats was nice[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
umiss siyo kusoma shule cha muhimu mgombea awe vigezo vya umisi ndio maana umria kuanzia 18-25
 
Mkuu mtoto wa rock city mkali sawa.
Au unadhani umiss ni sura tu.
Yule wa Arusha alikuwa balozi wa ukeketaji nadhani imempa sana promo
Mh mkuu, kuwa balozi wa ukeketaji lazima na wewe uwe umepitia kwenye huo ukeketwaji, ina maana miss wetu amekeketwa?
 
Umiss sio sura ni jinsi gani ulivyo/utakavyosaidia jamii. Waliochaguliwa kisa sura ndio wanaishia kujiuza uku mjini
 
kuna msg faraja kota ameiandika IG naomba mkasome na muelewe
 
Huyu binti ni mrembo kweli, anafaa kuoa akae ndani apike ugali na kusafisha nyumba!
 
Sielewi wanatumia vigezo gani kupata mshndi. Ningekuwa jaji mimi naangalia toto mkali, toto figure kweli ambaye amejazia kidogo nyuma ndo anakuwa mshind.

Mambo ya kiingereza sijui nini hayo hakuna mbona hata mzee Magu hajui halafu anapeta fresh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…