Dah, aisee bora miss Tz angekuwa huyu!!!

Ww mwenyewe mbona nakuona mkali kuliko yy.....ama hiyo avatar yako umekopa!
 
Kazuri kwakweli... huenda kalibana mzigo.
 
tatizo Miss Mwanza alirudia gauni mpaka hereni.[emoji23]
ila mtani wangu mzuri sana[emoji7][emoji7][emoji7]
watoto wa isamilo sio wa mchezo mchezo..

mwakani na mimi ntagombea miss mara
tutabeba Taji ,wazanaki hatutaki mchezo mwakani!
[emoji15][emoji15] watoto wa kinondoni wametutia aibu.
 
St.joseph
......hahahahahahahahahahahahahhah
nakumbuka kipindi kile social relationship kati ya st.josee girls seminary...na nyegezi seminary ilikuwa kaa pete na kidole..ila dah we had such cute times ....ila maisha yanasongaaaaaaa now days nmeambiwa ni...ka...ngamia na tundu la sindano..........!!!!! Nomaaaa
 
Ilaaa tuseme tuuu ukweliiiiii huyu kisura wa kisukuma ..alipendezaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa......................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…