Niache Nteseke
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 2,162
- 2,616
- Thread starter
-
- #181
Fala huyo alitaka tumsifie yeye kwa kipi alichonacho, wasifiwe wengine yeye aumie kama sio uchawi kitu gani...?π π π π
Nilikuwa na kuheshimu sana lakini kumbe una utoto mwingi na haujielewi kabisa. Sasa kama mtu anawasifiq wanawake wa Kabila fulani wewe kinachokuuma ni nini???
True say brother....!Ila uzuri upo machoni mwa mtu anayependa
Kwa sababu antenna imevunjika au...?Wana hamu sana mkuu
ππWanyaturu & wambulu typing....
Aaaaaah wapi hizi ni Hisia tu Mamiloo...!Ugonjwa wa wasukuma na jirani zao hata km we sio wa huko ila una ugonjwa huo huo
Sio hiko ila uzuri wao ndio ulionifanya nikawasifia mkuu. Kama shombe au wasomali hawa watoto nafkiri waarabu walipita huku kipindi cha utumwa mkuu.Ndo hicho kimefanya uwasifieπ€£
Aaaaaah wapi wewe flow wapi unaweza ku-flow kumshinda Noorah...!Ninasikia sio watamu kwenye sita kwa sita.
Kashamlaza bro wa watu
πΉπΉπΉ tumekubaliana hakuna kutumia silaha nzitoMeno na miguu vipi?
Acha tukuache uteseke tuHata sijui nisemeje mnielewe.
π€£π€£Mkuu wamekumaliza haoSio hiko ila uzuri wao ndio ulionifanya nikawasifia mkuu. Kama shombe au wasomali hawa watoto nafkiri waarabu walipita huku kipindi cha utumwa mkuu.
Sura ndio nzuri hiyoo aise hanifikii kwa uzuri walahi
Watidhe!Hawafui dafu kwa Wapare!
Na ni watamu balaa.Hata sijui nisemeje mnielewe.
ila wewe hujaonaWeusi Wana uzuri wao my dear...!