Niache Nteseke
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 2,162
- 2,616
- Thread starter
-
- #361
Ulichopewa na MUNGU kumnyima mtu dhambi...! πMrangi akikunyima maQu kaoge maji ya bahari
Tuamn limeelewekaMie hata sijui kama limeeleweka kiongozi...! π
Na boksiBin unusu na robo bado robo tu iwe kitu kamili.
Kauli mbiu ya wamakonde πUlichopewa na MUNGU kumnyima mtu dhambi...! π
Endelea kuteseka.Hata sijui nisemeje mnielewe.
Basi tuamini tu ila sidhani kama ni kweli limeeleweka. π€£Tuamn limeeleweka
Fungua boksi mzee baba...!Na boksi
Noma sana hizi kabila nyingine...! πKauli mbiu ya wamakonde π
Inategemea mpare huyo ametokea wapi. Nimetembea Mamba Myamba yote sijaona mwanamke mrembo.Hawafui dafu kwa Wapare!
Wala sijateseka mkuu...! πEndelea kuteseka.
Mkuu kuna vifo vya kutesa mkuu.Aaaaaah wapi kifo ni kifo tu mkuu.
Sawa binti wa kirangi.Ni wivu tuu
kama mtu hakutaki utalazimishajeKwa nini usitumie nguvu ya umma mzee...?
Hili ndo tatizo kubwa la warangi no antena.Ila pia ni wakarimu mno. Ukioa elewa umeolea kijiji, na ubahatike kupata ambae hajatolewa ki antenna.
πΉπΉπΉHebu weka picha hapa nithibitishe kama NA HAPA IPO...! π€£
Huyo kwenye profile ni wewe...?Kweli ni wazuri
Yapi hayo mkuu...?Hayajakukuta