DAH: Arsenal hii ni ngumu kumeza, mi ndio ingekuwa mwisho kussuport hii club

DAH: Arsenal hii ni ngumu kumeza, mi ndio ingekuwa mwisho kussuport hii club

Fredwash

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2009
Posts
1,400
Reaction score
2,010
Sikuwahi kujua kuwa arsenal wanasupport gays and lesbo, had wametengewa mahali pa kukaa na kwenye webiste yao wana page yao official
gaygooners.jpg

gaygoonersbanner-300x221.jpg

Gay Gooners

DAH MAN U NAO WALIWAH KUSHIRKI KWENYE CHARITY EVENTS YA MASHOGA WAKACHEZA NAO KATIKA KUWASAPOTI, ILA ARSENAL MMEVUKA MIPAKA. SIKU TEAM YANGU OFFICIAL WAKISUPORT HUU USHENZ BORA NIRUDI KUSHABIKIA MBAO> AMA NIJICHEZEEE FIFA16 EA GAMES
 
Mengine mezea..kama babu zako walivyruka ruka wakati wanaletewa elimu na ukoloni ndio na nyie mnavyoruka ruka ilamwisho wa siku mna sarenda
 
Mengine mezea..kama babu zako walivyruka ruka wakati wanaletewa elimu na ukoloni ndio na nyie mnavyoruka ruka ilamwisho wa siku mna sarenda

elimu ilikuwa tofauti na hili, huwez kuviweka kwenye sahan moja. hao mababu waliruka ruka sababu ya ignorant yao. ss unamaanisha nini kusema tutasarenda kwa hili wakati halikubaliki kiutamaduni, kiustaarabu, kidini, and its disgrace in every other languages...

elimu ni kuongeza ufahamu ndo maana hata hao mababu walivyosarenda ila waliongeza maarifa asa kwa hili tusarende tuongeze nini
 
Back
Top Bottom