DAH MAN U NAO WALIWAH KUSHIRKI KWENYE CHARITY EVENTS YA MASHOGA WAKACHEZA NAO KATIKA KUWASAPOTI, ILA ARSENAL MMEVUKA MIPAKA. SIKU TEAM YANGU OFFICIAL WAKISUPORT HUU USHENZ BORA NIRUDI KUSHABIKIA MBAO> AMA NIJICHEZEEE FIFA16 EA GAMES
elimu ilikuwa tofauti na hili, huwez kuviweka kwenye sahan moja. hao mababu waliruka ruka sababu ya ignorant yao. ss unamaanisha nini kusema tutasarenda kwa hili wakati halikubaliki kiutamaduni, kiustaarabu, kidini, and its disgrace in every other languages...
elimu ni kuongeza ufahamu ndo maana hata hao mababu walivyosarenda ila waliongeza maarifa asa kwa hili tusarende tuongeze nini