Dah! Boko anabaki, Mkude anaondoka

Nafasi anayocheza Mkude ina watu wengi ambao tunaweza kuwapata.

Nafasi ya Bocco ni ngumu kupata mbadala wake.

Angalia ni Striker gani mzawa anayefanya vizuri kwa sasa hivi?

Ukiangalia pamoja na umri wake kuwa mkubwa lakini yeye ndiye mchezaji mzawa ambaye ana goli nyingi kuliko mwingine.

So kwa pointi hii naona Simba wako sahihi
 
Nidham ya kazi,ni msingi wa mafanikio mema kazini,viongozi na wafanyakazu lazima wote tuwe na nidham
 

Izo goli nyingi kazipata ndan ya misimu mingap mkuu
 
Izo goli nyingi kazipata ndan ya misimu mingap mkuu
Nazungumzia msimu ulioisha.

Hakuna top score mzawa ambaye amefunga magoli mengi kumzidi Bocco

Katika wazawa Bocco ndio anaongoza amefunga goli 10 na anayemfuatia ni Sixtus Sabilo akiwa na goli 8.

Lakini Sixtus Sabilo ni winga wa kulia sio Striker

Mpaka muda huu hkuna Striker mzawa mwenye namba nzuri uwanjani kumzidi Bocco
 
no kweli Bocco kaongoza ila sabilo angekuwa Simba inawezekana angemwacha mbali , maana Simba ndio timu inayoongoza kutengeneza nafasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…