Dah hakuna kazi ngumu kwangu kwa sasa kama hii

Pole mkuu ungekuwa na mazoea ya kuingia humu mara kwa mara usingekuwa na presha.
 
Pole mkuu ungekuwa na mazoea ya kuingia humu mara kwa mara usingekuwa na presha.
Mkuu mimi humu napitapita sana tu sema hii case ni kama ya wenye nacho na wasio nacho hapa bongo,hawa ndg zetu wangejitahidi tu waliondoe hili gape mapema watu tujue tujipange.
 
kwel kabisa,cc ha2na presha yeyote hapa 2nafatilia tarehe ya kuripoti
wewe huna presha i hope umepata chaguo lako cuz kuna wengine walijipendekeza kuona mapema walichokikuta sasa!!!!!Ndo hao wanahaha kuomba ushauri kubadili course na chuo.
 
Dah mimi mwenyewe naumia taratibu cna cha kufanya nasubiria hukumu wakuu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…