Dah,hii mechi Pamba na Simba kelele ni nyingi

Dah,hii mechi Pamba na Simba kelele ni nyingi

fimboyaukwaju

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2020
Posts
2,977
Reaction score
3,798
Hii mechi ya simba na pamba imechukua sura mpya ya kelele nyingi mno,haijulikani ukweli ni upi..

Naomba amani na mpira uchezwe tu
 
Tatizo kubwa la mbumbumbu fc ni kupenda kulalamika na kudeka kupitiliza.
 
Ukiwazuia Simba wasifanye ushirikina uwanjani kabla ya mchezo lazima shida itokee, Awataki uwaone wakifanya ushirikina wakati pale South Afrika walifanya hadharani.
 
Mwanayanga mwenzangu hizi propaganda za kipunguani. Tuacheni mpira uchezwe uwanjani.
Ndugu ukionacho ni video na si propaganda uo ndio uhalisia wa mpira wetu wa Simba.

Usishangae timu yetu Mbovu lakini inapata matokeo, Kuna kazi kubwa ya kujidhalilisha nyuma ya pazia.

Usifikiri neno kwa Mkapa atoki mtu lipo ki nadharia Kuna kazi inafanyika ili wewe mbumbumbu mwenzangu u enjoy.
 
YAnga mpaka tulioneshewa video ya sindano kuwa tunajidunga.... Nyie ndo mnafanya mpira wetu uwe na upumbavu mwingi sababu ya watu ambao ni very uneducated.
 
Back
Top Bottom