Ernst kipire
JF-Expert Member
- Dec 16, 2019
- 286
- 292
Well said bro...Waafrica na watu weusi kwa ujumla ni washamba sana, eti unawaita wazungu hawajali kuvaa, ili ajali kuvaa awe vipi? unajua thamani ya hicho kiatu unachokitolea mfano?
Nadhani tunaowaona huku kwetu huvaa kutokana mazingira,mzungu hawezi ulambia akiwa k/koo,manthari ya miji yetu inachefua.Well said bro...
Kun people znaushamba au niseme utumwa wa kifikra juu ya mzungu[emoji706]
Usilo lijua,hakun watu ambao wapo smart na wanaotupia kam wazungu,ni mara chache sana kumuona mzungu akiwa rafu au kavaa moshi kam hii yetu
Guys acheni kujidharau na ndio maana tunadharaurik san na wazungu...
πππJiroge uulizie Bei ya hizo yebo yebo
Zinanunua kiwanja heka kumi ππ
Sasa Wabongo wengi mpaka home wanawaka, halafu kingine huyu ni kawaida yake kuvaa kawaida/rough, tajiri anavaa t shirt tena ya aina moja, na suti basi anavaa pair zisizozidi 2 tu, kubali kataa hawa jamaa wanavaa kawaida mno, hawana vikolombwezo vingi kama sisi. Unaoongelea wewe kuwa wanavaa vizuri ni wale wazungu wasanii, fashionists na watu wa burudani ambao kwao ni lazima wavae wawake, ila hawa wengine si vijana si wazee wanavaa very simple. Huo ndio ukweli!Wazungu ni kam sisi tu,wao pia wanapanga kuwaka kam kawaida,nioneshe mzungu ambaye yupo rafu muda wote,usidanganywe wao wanavaa san ten san.
Hiyo picha hapo ya huyo boss isikuchanganye,hpo alikuw zake home amechill
We ndo umeongeaKuvaa au kutupia kama ulivyosema kunaendana na tukio Mkuu..kwa mfano mtoa mada ungetuonyesha picha za matukio tofauti ya huyo tajiri hapo na kama angekuwa na hayo makatambuga ndio ungetoa hiyo kauli yako.
Hapo yuko kwenye mitambo sidhani kama angekuwa sahihi kuvaa suti,hebu mtafute akiwa kwenye kikao na ma CEO wenzia kama atakuwa hivyo.
Kimsingi wenzetu wanajua kuvaa kulingana na tukio..huwezi kumuona amekwenda kucheza golf akiwa na suti vipande vitatu.
Ahsante