Dah!!Huyu dingi dah!!!!!

Nahawa wazee tabia ya kupenda watoto zao ndio madhara yake.
Hiki kibinti nacho ni hovyo. Mi naona kijana amwambie ukweli tu baba yake. Ili huyo mzee aamue kusuka au kunyoa. Maana kijana hana kosa hata. Swala kumjulisha mzazi mpenzio ni uamuzi wake yamkini alikuwa kwenye mikakati hiyo.
 
Pole sana ndugu yangu hawa wananake ni kama vinyonga, najua ni ngumu kukubali bt ndo kashaamua kuwa mama yako na ww ndo chalii, piga chn maisha yaende.
 
hadithi zingine zisikiege tu kwa watu aiseeeee
 
Kijana hajamuambia baba mahusiano yake na nimemwambia atulie!
hapa inaonyesha baba hajui kama mwanae alikuwa anatoka na huyo binti.
Wanaume wamekuwa wakiwadanganya wanawake kuwa watawaoa, wanachapa wakishawachoka wanawakimbia. Kwa hiyo baadhi ya wanawake wanakuwa na mchumba 1st choice, 2nd choice, 3rd choice au hata zaidi ya hapo. Kwa hiyo yule wa kwanza kutimiza ahadi ndio ataoa huyo mwanamke wale wengine watapigwa chini(kama binti ni mstaarabu). Hicho ndicho alichokifanya huyo binti. I hope alikua hajui kuwa anatembea na mtu na baba yake.
 
Huyo binti mshipa wa aibu ulishakata siku nyingi, yaani hata alipokuwa anatambulishwa kwa boyfriend wake yeye kachukulia poa tu??
Ili kumnusuru baba yake inabidi amwambie tu ukweli ili asije mpoteza dingi yake. Ila itakuwa ngumu sana kama dingi kishalambishwa ile kitu, hapo itakuwa ngumu kutenganisha.
 
Kijana apige tu chini hiyo ishu isimuumize kichwa. Atafute mwingine na maisha yatasonga.
 

mkuu umesema sawa na nilichotaka kusema, hapa kijana ajue kabisa huyu mama ni mama yake lkn pia aongee na dingi kiutu uzima kwani inawezekana yupo kimaslah zaid. but ni ngumu sana kwa yeye kama ktt kuingilia hayo mapenzi awe na busara sana vinginevyo atajitafuta matatizo.
 
Huyo dada hafai aisee, tena huyo mwanaume ashukuru Mungu hicho kikombe kimemuepuka!
 
Hadisi hii kakusimulia nani? Kakuambia inafundisha nini? Haya mpigieni makofi shangazi.
 
swali la 'unaonaje' la baba nalo tata!sijui pengine amehisi kitu au binti ameshamuambia!kimsingi sioni kosa la baba given kwamba alikuwa mjane na kuliko ahangaike ameona aoe,swala kama anayetaka kumuoa ni mdogo au ni nini sidhani kama ni issue,na vilevile pengine wakati anaanzisha mahusiano hakujua kama huo ni usingizi wa kijana wake.so la kufanya ni kijana amface baba yake na kumwambia ukweli kuwa ''the gal u want to marry was my girlfriend for almost 4 years'' kama huyo baba ataona still ni sawa kumuoa huyo binti kijana hana pingamizi zaidi ya kushukuru Mungu kuwa amemuonyesha upande wa pili wa aliyedhani ni mchumba wake.lakini kama baba ataamua kumuacha tafadhali kijana asirudiane na huyo binti since believe me atawa two time wote!
 

he has to say it now OR EVER ASISEME!baada ya ndoa hata mimi sitamuunga mkono kwa lolote litakalompata!kama huyo binti amekuja kimaslahi ujue hata atakapoingia kwenye hiyo ndoa na huyo baba ataingia kimaslahi pia,so atajiandaa kwa lolote na take it from me!hatakuwa tayari deal lake liharibiwe na yeyote.matokeo yake hapo ni mabaya zaidi anavoweza kuimagine,so please tell huyo kijana aongee na babake,kwa umri alionano sidhani kama hili ni gumu!
 
Mkuu,ukute baba alijua na bado akaamua kumfanzia mwanae. Too sad,lakini it goes on to show how women can wreck families. Huyu binti anajua kabisa mzee ni baba wa bf and yet she goes ahead na kuwapa tunda baba na mwana na kutumia lugha za kipuuzi za ' sahau tulivyotiana huko nyuma,natiwa na babako sasa',sorry for the foul language,i mad with anger.
 
...Mhhh! Kweli duniani kuna mambo...Mababa wengine hawastahili kupewa hadhi hiyo ya kuwa Baba.

Hapa wa kulaamumiwa siyo baba ila msichana. Huyu msichana angekuwa muwazi kwa huyo baba kwamba yeye ni rafiki wa mwanaye asingefika hatua hiyo aliyofikia. Huyu msichana ana tabia mbaya tu.
 
Shamba ni la bwana Heri,mbuzi wa bwana Heri na mahindi yaliyoliwa ni ya bwana Heri.Ningekuwa mm hapo nakubaliana na matokeo ila najua siku moja moja nitakuwa najipigia pasi fupi fupi.Tamu hizo!
 
mii namshauri akubaliane na matokeo na amuheshim kama anavo muheshim baba ake maana anae lala na baba ako ni mama ako na unapaswa kumuheshim. huyo hakuwa wake atafute alie wake huwezi lazimisha mahaba.
 
Mwenye kisu kikali kala nyama. Hata hivyo age difference ya two years ni ndogo sana. Piga kazi dogo tafuta saizi yako around 18-22 years. Tena hapo nyumbani hama, usitake kugombana na dingi.
 
 
Amweleze ukweli Baba yake, maana kama akificha badae itakuwa mbaya zaidi, hasa Baba atakapogundua jambo

kweli kabisa fikiria dingi akitoka akawaacha wenyewe home hawatakumbushiana kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…