Dah! Ila Gamond wa msimu huu kaamua kuja kivingine kabisa kwa ufupi hasomeki

Dah! Ila Gamond wa msimu huu kaamua kuja kivingine kabisa kwa ufupi hasomeki

CARIFONIA

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2013
Posts
616
Reaction score
1,453
Dah! Huyu mwamba huu msimu kaamua kuja kivingine kabisa kwa ufupi hasomeki.

Yahani akikutana na timu kubwa na inayojua ball anaibamiza bao za kutosha, ila akiutana na wachovu pale ndio unajua mtu anakula nyingi siku hiyo ndio anapata ushindi mwembamba.

Rejea hizi games
Yanga 1 Vs Ts galaxy 0
Yanga 4 Vs Kaizer chiefs 0
Yanga 1 Vs Simba 0
Yanga 4 Vs Azam 1

Hapo itaona timu ndogo yanga kaondoka na ushindi mwembamba lakini kwa timu zinazojua zimekula kichapo haswa.

Soma Pia: FT: Ken Gold 0-1 Yanga | NBC Premier League | Sokoine Stadium | 25.09.2024
 
ukutane na nani..?
niache kulala nije nikutane na kolo ama dunduka!,basi mi nitakuwa zwazwa..😂
Msyuuuu...sasa unasema tutafungwa ukiwa umejifunika kwa uoga au?? Tukutane hapa JF...sasa mm utanionea wapi kwamba nimejifunika nalia kwa kwikwi wewe chura zezeta...😃😃
 
Msyuuuu...sasa unasema tutafungwa ukiwa umejifunika kwa uoga au?? Tukutane hapa JF...sasa mm utanionea wapi kwamba nimejifunika nalia kwa kwikwi wewe chura zezeta...😃😃
sawa mrs dunduka si unanilazimisha haya nitakuwepo ili nione unyumbu wenu...🤣
 
sawa mrs dunduka si unanilazimisha haya nitakuwepo ili nione unyumbu wenu...🤣
Wewe Endelea kukaza fuzu kama Chura kiziwi...mwisho wa siku mnaukimbia uzi...
Ile kauli ya uzuzu kuna ka ukweli..😃😃😃mr mwiko nyuma...
 
Wewe Endelea kukaza fuzu kama Chura kiziwi...mwisho wa siku mnaukimbia uzi...
Ile kauli ya uzuzu kuna ka ukweli..😃😃😃mr mwiko nyuma...
niache nilale sasahivi ili hiyo saa mbili mpk nne niwe active nione unyumbu wenu!..
 
Back
Top Bottom