Dah! Ila wanawake mnavumilia mengi

kubali kataa ww ni shoga Tena wa kinondoni.najua wanaume tunazidiana ila sio rahis ukute mwanaume anajisifia kuwa yy ni mzuri hata kama ni kweli.ila mwanaume ambae sio ridhiki kama we ni simple tyu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasambaa wanasema hivi...
"Kofia baya jina mtwi wakwe"

Maana yake ni kila mtu na wake
Wewe ukisema kwanini yeye anasema nitampata vipi

Isitoshe wengine wanashawishika na mapenzi ya mtu kuna watu ni handsome kwelikweli lakini kwenye mapenzi wachovu kweli yaani....so huenda dada yako alimpenda shemejiyo kwa sababu ya ulijali wake anamkuna hadi kwenye maini...niishie hapo
 
kubali kataa ww ni shoga Tena wa kinondoni.najua wanaume tunazidiana ila sio rahis ukute mwanaume anajisifia kuwa yy ni mzuri hata kama ni kweli.ila mwanaume ambae sio ridhiki kama we ni simple tyu

Sent using Jamii Forums mobile app
wapi nimeandika kujisifia uzuri mkuu? kwani mtu kuitwa mbaya ni tatizo? mbona wazuri huambiwa we mzuri
 
inawezekana
 
basi kama wewe ni mzee then wapost vitu vya kijinga kama hivi. ..itakuwa unashida pahala
hata sina shida pahala bt nimejifunza kile unaona sawa wenzako huona cha kijinga
 

Kakupa fundisho muhimu... Kuwa wanawake wanaangalia mihela na sio kwamba wanakupenda
 
Hivi dadako angekwambia kampenda jamaa kwa sababu ana mashine inasaga na kukoboa papo kwa papo ungejisikiaje? Mambo mengine unayaona unakausha tu kamanda [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…