Dah! Ila wanawake mnavumilia mengi

Kikubwa heshima na upendo sura pambo tu.
Ila Mwanaume kuwa mshakunaku hata hainogi
 
Kama si dishi kuyumba basi ww si riziki
 
Ukiangalia hii ya huyu binti ndipo utajifunza

 
atakuwa shoga huyu jamaa mambo ya dada yake yy anataka kuyajua ili iwaje na mume wake fara kweli jmaa angu
 
Sura Nzito.
 
Wewe una sura laini..!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…