Omulasil
JF-Expert Member
- May 5, 2015
- 8,015
- 10,269
Wadau wasalam
Kijana wetu wa Tz 24yrs anapigana na Wahab kutoka Nigeria (WBF) naona wako na kocha wake Emmanuel Mnondwa tena anafuta kwa kofia yake ya ......ya chama. Dogo mzuri ila inaonesha sijui hatujawasaidia hawa wanamichezo. Duh Dogo hata akishindwa amempasua Wahab raundi ya 4 kati 12
Wahab ameshinda kwa pointi
Ila kisukuma ukimtoa mtu damu wanaamulia kuwa umeshinda ila hizi za majaji Dogo Nampeche Boy ndio hivyo
Pambano limeisha huko Nigeria.
Bora hakupigwa KO
Nimeona wako wawili tu na msamaria m nigeria mwenye jezi Team Lagos alikuja kuwa kona yetu mzee mzima angalau alikuwa anasaidia dogo kumuosha na maji
Sent using Jamii Forums mobile app