HAZINA YETU
Senior Member
- Mar 29, 2013
- 174
- 33
Pole sana nenda Hospitali kalitowe hilo Busha kabla halijawa kubwa ukashindwa kutembea.habari wadau?mi nina tatizo kwani kende moja ya kulia inavimba siku hadi siku na inauma pindi inapopata mtikisiko au kubonyezwa.naomba mnisaidie kuhusu hili kwani rafiki zangu wanasema ni enia ikizingatiwa kwenye familia yetu kuna watu watatu wameshawahi fanyiwa operesheni ya enia.Je kwani enia ni ugonjwa wa kurithi?Je kuna dawa zozote naweza kutumia kabla ya kufikiria operesheni?shukrani kwenu wakubwa nateseka sina raha hata kidogo kwani nipo chuoni nasoma na nimekosa confidence.