dah,kweli DIAMOND PLATNUMZ ni nouma!!

Hizi mambo angefanya flani!sijui ingekuwaje?...domo jina linamuelemea anakuwa anapania mpaka anachemka!huu ni ukolo anaoleta!
 
Hizi mambo angefanya flani!sijui ingekuwaje?...domo jina linamuelemea anakuwa anapania mpaka anachemka!huu ni ukolo anaoleta!

bilashaka unamaanisha bob j,ye hakuwa na tatizo,alijivalia zake kitraffic
 
Daaaa this is too much!
 
Kujishusha thamani hivi nani katuroga au sisi wenyewe

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
mi nilijua ni kafreemason tuu kumbe na huku kamo,
biashara matangazo
na matangazo ndo hayooo

tangaza biashara yako uuze zaidi!
 
kuna tofauti gani na kanga moja.?
basata wanafahamu...tena hizo shoo zote kila mkoa zilihudhuriwa na ma-RC au ma-DC ....chezea mawingu radio ya wafu ww
 
Hizi mambo angefanya flani!sijui ingekuwaje?...domo jina linamuelemea anakuwa anapania mpaka anachemka!huu ni ukolo anaoleta!

Creative ideas zimemuishia kaona bora ashindane na wema na aunt ezekiel kuonesha vilima hewa vyake...
 
Ndio maana uwa tunasema hawa watu ni wehu..sasa ushenzi kama huu unafanya mbele ya watu wenye akili timamu kabisa unategemea nini? Very stupid, yani wasanii wa Tanzania wengi wao wanahitaji ushauri nasaha kwenye saikolojia,yani wanafanya mambo ya kishenzi kweli. HUU NI USHETANI.
 
Mweeeeeeeh,yupo sokoni atangaza bidhaa au?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…