Hapo fikiria kuna baba na watoto wanamsubiria, yani ili wote hawa wale ni mpaka huyu mama afikishe mboga nyumbani. Halafu uliza mama katokea wapi kuelekea wapi, Ubungo/Mwenge afu tgeta. Dah mama mama!!
Hahahahahahahahah,
Naona hapo umekuwa mkubwa sana kajukuu kangu kazuri LD!!!! Halafu unajua huyo baba si ajabu hana shida na hiyo mboga. Shida yake ni kitu kingine kabisaaaaaaa!!!!
Hata hivyo usirudie kusema maisha ni magumu. Sema maisha yako binafsi naya huyo mama yamekwama kwenye tope. Wakati huo kuna watu wengine wanatesa kwe V8, full AC na wakifika home wanakuta menu choices kama 100 hivi. Hawana hata habari kama kuna kifo. Hao pia umewafikiria?
Usirudie tena kusema hivyo,...umesikia kajukuu???
Mzee DC!!
Niko kwenye daladala natokea kwenye pilikapilika za kutafuta mkate wa kila siku. Pembeni yangu kakaa mama mmoja anayeonekana katoka kutafuta mkate na yeye. Mama huyu amechoka, anaonekana pia hana furaha ya kutosha. Mara amefungua mfuko wake katoa mboga za majani anaanza kuchambua. Dah nkimwambia mama umeona urahisishe mambo eeh! Akanijibu kwa upole acha tu dada angu, maisha haya. Tunavyo hangaika hata muda hautoshi. Mama huyo hapo ukute watoto wamekaa mlangoni wanasubiri mama arudi.
Yeahhh wengine mnajiuliza mwende wapi kujipendelea ..wengine wanachambua mboga kwenye daladala!!!...imenisikitisha sana hii...kwakweli twatakiwa kushukuru majaaliwa tuliyobahatisha.
unachokisema upo sawa ila ukifanya hayo unayoyasema ndo yana hasara zaid mfano hlo la kutengeneza juice kwanza matunda ni garama sana na mbili ni muda wa kufanya hayo hautosh so tatzo lipo pale paletips za kupunguza ugumu wa maisha1.achana na maji ya chupa,chemsha ikibidi maji yako2.punguza vocha za simu,sms zaidi3punguza lunch na marafiki sana4.punguza safari zisizo za muhimu5.punguza kununua mfano juice za supermarket,tengeneza za home6........nunua vitu hasa vyakula kwa jumla....7.jitahidi ukae karibu na ofisi,upunguze gharama za usafiri8 mengine malizieni basi
Mhh..... samahani nilibanana na majukumu kidogo nilijua ningeaga nisingeweza kuchukua likizo kwa jinsi ninavyowamiss..., kwahiyo nilichukua hatua ngumu kwangu ingawa nilipanga likizo ya muda mrefu zaidi lakini kwa kuwamiss nimeshindwa... na imebidi nirudi..Aisee Voice ulikuwa wapi, dah usiwe unatesa nafsi za watu kiasi hicho. Uwn unaaga basi. Maisha yanakua magumu kwa sababu yako bana. Ngoja nikufate huko.
Yeahhh wengine mnajiuliza mwende wapi kujipendelea ..wengine wanachambua mboga kwenye daladala!!!