Dah! Mkulima ndiye amesababisha ndege ya Tanzania ikamatwe Afrika Kusini - Reuters

Mkuu jiwe atakupa uchizi
 
Mimi ningekuwa Magfool ningekataa kulipa na ningecut diplomatic relations na SA mara moja kisha kuambia balozi wa TZ kurudi nyumbani na wa SA kurudi kwao.
 
Kila kitu kina utaratibu wake.
Punguza chuki na serikali au serikali ilikugegedea PISI yako.

Hata utaratibu huujui!

Utaratibu ni kua hukumu ikitoka ulieshindwa unapewa kopi yako tayari kutekeleza ulichoambiwa!

Mpaka leo hujalipa!

Maana yake hukutekeleza hukumu!

Utaratibu unaousemea ni wa kujisaidia vichakani au upi hasa??

Lipa deni chukua lindege lako peleka kwenu huko!

Na ukichelewa linauzwa!

Serikali na CCM sizipendi hata kidogo!

Ni uamuzi wangu binafsi!

Ni kama wewe ulivyo na haki ya kuipenda mimi siipendi!

Ni moyo wangu,na wewe unao wako!

Tuachiane uhuru please!
 
Hiyo kesi ni toka enzi za jk wala magu hausiki ...afu cha pili huwez vunja uhusiano na sa kwan serikali yao ndio ina kesi na tz?? Wakenya muache kukurrupuka
Mimi ningekuwa Magfool ningekataa kulipa na ningecut diplomatic relations na SA mara moja kisha kuambia balozi wa TZ kurudi nyumbani na wa SA kurudi kwao.
 
yeah, hili ni angalizo zuri kwa ajili ya viongozi wetu.

hizi vurugu tunazowafanyia Barrick/Acacia sasa hivi zitakuja ku catch up na sisi huko mbele ya safari.
Kwa iyo bora wangeendelea kutunyonya
 
Fvck you too
 
Hakuna Kesi Pale
Utaona Soon Inaruka Kuja Bandari Salama
Home Of Peace
 
Kwa iyo bora wangeendelea kutunyonya
Tatizo linaanza na mikataba tunayowapa kwa vificho, huku mikataba ikiwa favour.

Fikiri taratibu. Kwanini mikataba isiende kwenye bunge la wananchi ?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…