Dah! Mkulima ndiye amesababisha ndege ya Tanzania ikamatwe Afrika Kusini - Reuters

Is it the first time you hear a company is taken to court?
Nah, negro of the bongolala clan, this is between the government of Tanzania and that man. GoT owns that plane and it needs to pay that man his money. There is no company here, just GoT and a businessman
 
Yeah Air Tanzania Company Limited is a goverment, and i think its president is Pilot "i dont know who"
 
Hasara aliyosababisha na huyo pimbi iingie sehemu ya malipo ya deni...
 
Yeah Air Tanzania Company Limited is a goverment, and i think its president is Pilot "i dont know who"
Whichever way you want to slice this, it will end up with GoT cutting that cheque
 
Yaaaani hili lidege linawatekenya tekenya WAKENYA sehemu zote zote
Sikiliza nyie mnazo ndege za kupora EAC miaka ile... Siye tunazo classic New hata hiyo tunaweza tukawazilia
Kipindi wakenya wanapora hizo ndege. Watanganyika mlikuwa wapi ?
 
Hii ni ngumu sana aisee. Yaani mnawakomboa watu halafu wanawakomoa?
Kwani ujui SA mabeberu yanaendelea kuishi kama RAIA hivyo ukisema nyerere wao wanamuona adui yao
 
Siyo kua badala yake ni kuwa.

Siyo ulieshindwa badala yake ni uliyeshindwa.
 
Ukiona mambo yako hivi. Ujue tuko kwenye njia sahihi. Mabeberu hayaja zoea kubanwa unyonyaji wanaofanya kwa Afrika.
Hata Libya, mambo yalianza hivi hivi, hujuma ndogo ndogo. Baadaye wakavamia.
Tunashukuru kwa Tanzania, watapigana lkn hawatashinda.
 
Hivi wakichelewa si ndo balaa zaidi kwa port charges fees mzigo kuulaza pale nilivyokolea uchaga mshahara wa rais ndo ungekipa gharama izo na sio hela ya umma ahahahahahahahahaha ccm hii kusingekua na sheria ningechinja mmoja mmoja barabarani humu kila siku mi pia nawachukia sana sio we peke yako
 
Mimi ningekuwa Magfool ningekataa kulipa na ningecut diplomatic relations na SA mara moja kisha kuambia balozi wa TZ kurudi nyumbani na wa SA kurudi kwao.
Ndiyo akili yako ilipoishia hapo halafu si bure wewe ni graduate unahangaika kutafuta kazi. Tuna safari ndefu san
 
Mimi ningekuwa Magfool ningekataa kulipa na ningecut diplomatic relations na SA mara moja kisha kuambia balozi wa TZ kurudi nyumbani na wa SA kurudi kwao.
Uhusiano wa Tanzania na Sa unawaumiza roho wakazi wa kibera!
 
KEYWORDS:
...Uchaga
---kuchinja mmoja mmoja
....nawakuchukia sana
Haya tutaona mwisho wake ni nani atalia, familia yako inapokukosa au hao unao wachukia sana hadi sasa nuataka kuwachinja...
 
Nani yupo nyuma ya huyu mkulima mstaafu wa south africa.... maswali ni mengi kuliko majibu????????????
 
Reactions: Oii
Basi mkenya umefurahi kweli kwa ndege yetu kukamatwa,si bure we utakuwa kigagula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…