Dah..Nimekutana na mtu eti kaniambia pole kwa msiba, msiba wa nani? Ruge

Johnny Sack

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2017
Posts
8,984
Reaction score
19,288
Ebanae leo nilikutana na jamaa kaniambia pole kwa msiba, nikamuuliza msiba gani? Kaniambia eti wa Ruge,sasa nikajiuliza Ruge ananihusu nini mimi?
Najua kasaidia wengi, wasanii, wafanyakazi wa clouds,viongozi wa CCM n.k, ila mimi kanisaidiaje?

Mwingine nikakutana nae akaniambia kwa nini sikuenda msibani? Nikauliza msiba gani? (Japo nilishajua anamaanisha wa Ruge)

Akanijibu wa Ruge, sasa nikashangaa tena zaidi, nikamuuliza kwani msiba unanihusu nini mimi?

Akaniambia amewasaidia Watanzania wengi na mimi nikiwemo, dah, sikutaka kubishana sana nikajibu tu nilikuwa bize
Wakati nikikubali na kunuheshimu sana marehemu kawasaidia wengi, ila hili jambo limekuzwa sana (sababu ya yeye kuwa mtu wa media)

Hii sio mara ya kwanza, kwa Watanzania kukuza misiba hivi, tuliona Masogange ambaye alikuwa ni video queen na mtu anayetupia picha za kutamanisha kingono mtandaoni msiba wake ukikuzwa sana kiasi kwamba hadi Rais kupeleka salamu za rambirambi

Nikajiuliza sana hivi Watanzania tuna IQ ndogo kiasi hiki?

Yaani propaganda za media zinatuaminisha kirahisi kuwa mtu fulani ni muhimu japo ipo wazi kabisa sio muhimu?
Kuna mtoto mwingine aliitwa Patrick, basi na msiba wake ukageuka kuwa msiba wa taifa, unajiuliza kwani huyu alikuwa ni nani?
Kumbe alikuwa akitupia picha mtandaoni..
 
Kuna powerful people, wakiamua uwe famous unakua ndani ya siku mbili tu,hadi mnajiuliza "jamaa katoka kimaisha fasta kafanya nini" hata usipate alichofanya,
na wakiamua upotee hata kama umewekeza kiasi gani unapotea in a day!! wao ndo NYOTA wakiamua uwake unawaka na wakiamua uzime unazima mapemaaaaa. so mchizi kupaishwa ni juhudi za hao watu nyuma ya pazia huwa hawaonekani.
 
Hahahah watasema unamuonea wivu marehemu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…