Dah ningejua... mimba au napigwa

Dah ningejua... mimba au napigwa

Kifulu

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2021
Posts
557
Reaction score
2,064
Hapa Naona kama nimepigwa hivi, siku tano baada ya mizagamuo anahisi mimba!?

Ila siku niliokutana nae alikuwa danger day

Oya nishaharibu
 
1000022346.jpg
 
Nikazani cancer kumbe mimba tuendelee na majukumu mengine wana Jf
 
1. Siku uliyokutana nae Alikupanga tu kuwa yuko Danger. Kwasababu
2. Ili baada ya kukupa tunda, anakupa muda kidogo ili akupige na ishu ya mimba
3. Baada ya hapo atakuomba hela ya kutoa
4. Na Ataangalia kias gan cha hela unachotaka kutoa ili atoe mimba au kama hautak itoke atakupa vizinga vidogo vidogo na kuona jinsi gan unavyomuhudumia.

6. Nia ni kukuchuna tu kwa namna yoyote ww utakavyo react.

Ushauri:-
Kubali Mimba, na sema utamtafuta siku yoyote mapema ili mpime wote vipimo ving ili mjue mnaanzia wap kupanga maendeleo ya kwenu na mtoto wenu.

Hapa utajua kuwa je kuna mimba na ina muda gan!.

Wadada wawil enzi zangu walishaletaga mastory kama haya na nikachoka.

Cuba mwamba, cuba baharia
 
Oiii Cuba mwamba Cuba baharia
 
Back
Top Bottom