Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,226
- 8,879
Tujifunzage kuwa unachoona huwezi kukiacha kutokana na mapenzi basi usikibugudhi au kukichunguza
Kwenye maisha yangu nimedate na wanawake lkn most of them wamenizidi umri one or two years
Kuna huyu mmoja jamani alinikuta nipo na mchumba wangu ila nilimkataa yule kuwa naye nilimpenda kuliko first lover wangu nilikua na mipango naye alionesha kujali pia hana makuu na mtu hata mkipotezana salamu zake unazipata
Tuliachana tena ni mm nilimwambia mm na wewe basi nikijua nitamsahau nilikaa mda ikabidi nifunguke akakubali tuendeleee akiniimiza kuwa mawasiliano ndio kitu cha msingi ila yeye hanitafuti mpk nimtafute
Nikaamua kumwanga chini nikafuta namba yake ila alijua na anajua nn napenda kuniiimbia ndio ugonjwa wangu naye hufanya hivyoo
Miezi 3 nafikiri imepita sasa nimempata mwingine tuna mwezi manzi kaoza sana ila tatizo kwangu mm uongo siuwezi au kukaa na jambo kila tukipiga story coz kila usiku hinipigia basi sometime namkumbuka sana sana yule mpenzi wangu mpk natamani nimwambie huyu dada jinsi gani ninampenda yule mwanamke
Leo uvumilivu umenishinda nimemtumia text messenger
JAMANI NAMPENDAAAAAA NAMPENDAAAAA NAMPENDAAÀ SIO MZURI SAANA ILA JMN NAMPENDAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
NIMESHINDWA KUMTOA AKILINI NILIKUTANA NAE 2019 NAMPENDAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
I WISH HATA NIWE MCHAWI NIMFANYE KUWA WANGU NINGEKUWA RAISI BASI NINGEMFANYA KUWA MUONGEAJI WANGU
NAMPENDAAAAAAAA JMN DAAAH