Dah!Sijui Niiteje Hii Title!!?

Majigo

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
5,519
Reaction score
1,828
Nilosimuliwa...

Kuna dada mmoja hivi yupo kwenye ndoa mwaka wa sita huu sasa, lakini hana amani na ndoa yake yani na amani inavunjika kwa sababu ya mumewe kupenda mechi za nje, yani yeye anasema ni mwaka wa mwanzo tu ndio alikuwa na furaha na ndoa yake lakini sasa kila kukicha wananuniana na maugomvi kibao kwenye nyumba.
Alishawekewa vikao vingi sana na familia mumewe akiahidi kwamba atajirekebisha lakini ikawa kila kukicha afadhali ya jana, ikafika kipindi akataka kabisa aondoke yani aachane na mumewe lakini ananiambia kuna siku moja akiwa tu peke yake ndani akajiuliza nikiondoka sitowatendea haki watoto wangu kukuzwa bila mapenzi ya baba nitakaa tu na mume wangu akirudi niongee naye anieleze sababu haswa zinazomfanya kuendekeza umalaya labda kunajambo ambalo kila siku alikuwa naogopa kulisema kwenye vikao tunavyokaa kuzungumzia matatizo ya ndoa yetu.

Jumamosi moja akaamua kulitoa dukuduku lake na kuongea na mumewe, mumewe akamwambia kwamba umalaya wake unasababishwa na yeye mkewe, kwamba yeye hataki kumpa nyuma na huko anapoenda huwa anapewa nyuma....!!!!!!(what?????),kwahiyo kuliko kumlazimisha ni afadhali tu awe anapata huko nje.
Mkewe kwasababu alikuwa anampenda sana mumewe na hakupenda amani inavyovurugika katika nyumba yake akaona kama sababu inayomtoa mumewe nje ni upande wa pili basi atampa mumewe upande wa pili!!!!!!!!!!!!!!!!!!(hehe heiya)
Kweli shosti anasema akaanza kumpa mumewe upande wa pili japo iliuma lakini alijikaza na baada ya muda akazoea na akaniambia kweli mabadiliko yalionekana kwenye ndoa mwanaume alibadilika, kukawa na amani yani alifurahia sana
ndoa yake mpaka akawa anajilaumu kwanini hakumpa tokea zamani.

Muda ukaenda maumbile ya shosti sasa yakaanza kuharibika, pakatanuka ikafikia mpaka sasa akiwa ameketi akisimama anakuwa ameloa nyuma, yani akitoka ni lazima avae pedi ili asiumbuke barabarani!!!! ilipofikia hapo mumewe akaanza tena tabia yake ya zamani ya kutoka nje, mkewe akimuuliza kwanini ameanza tena na huku yeye anampa mumewe humwambia kwake kumesha tanuka anatafuta vilivyo sinjaa!!!!! Yule dada anasema alitaka kufa, ameharibika kwa kumpa raha mumewe sasa mwanaume bado anamtesa kwa umalaya, yani kwa jinsi anavyomchukia mumewe sasa anataka hata kumfanyaje sijui, sasa amebaki kuishi maisha ya utumwa tu amani hamna wanaishi kimazoea tu maana mwanaume kama kala miguu ya kuku kila kukicha mguu na njia na dogodogo.
Na sio kwamba ni anamwanamke mmoja.


..... duh!huyu kaka noma yani yeye anakula mbele na upande wa nyuma na kwajinsi mkewe alivyonihadithia ameshawapakuwa
wanawake wengi sana!!!
dunia hii mmhhhh......!
 
........very sad stori kama ni ya kweli, kilichobaki hapo nini yeye (mwanaume) kuliwa mtandao, awafaidishe na wenzake sio kila siku kufaidi yeye! anyway kuna siku atajua malipo ni hapa hapa chini ya jua,
 
Pole kwa dada,kwa kweli ndoa zina mambo aisee.
 
asee! asee! huyo mwanaume fedhuli kabisa mahala kumtu gakajapo ...lkn unkikulu jope mahala gakajapo ...kupenda gani huko,,,,akipata NGOMA ndo watoto watakuwa vizuri na mapenzi ya baba na mama ,,,,ushauri wangu katika dunia ya leo ukiona mwenzio ni kiruka njia kwanza kapime ukikutwa huna NGOMA ACHANA NAE KABISA ,,,,
 
Ibilisi halali wala hasinzii, yuko kazini Daily!!
Dada huyo aende Kwenye Nyumba ya Ibada akafanye Toba na Muumba wake ili Dhambi alotenda isameheke. Then, asirudie tena kutenda Ufirauni huo na mumewe. Lakini pia amsamehe mumewe ila aweza dai talaka!

Mat 5:31

Kuhusu Talaka 31'‘Pia ilinenwa kwamba, ‘Mtu ye yote amwachaye mkewe na ampe hati ya talaka.' 32Lakini mimi nawaambia, ye yote amwachaye mkewe isipokuwa kwa kosa la uasherati, amfanya mkewe kuwa mzinzi. Na ye yote amwoaye yule mwanamke aliyeachwa azini.''
 
jamani jamni yote haya yanasababishwa na watu kukaa kwenye ndoa kwa sababu ya watoto....sasa ona wewe na pedi kama mtoto alafu wewe huna raha je hao watoto watakuwa na raha kweli?
 
huyo dada ujinga wake ndo ulomonz hakuna haja ya kumhurumia
 
Mmmh naanza kuhisi hasira ya mungu inakaribia, mbona kizazi hiki kimekuwa kizazi cha nyoka kupita kiasi.
 
Nampa pole sana huyo dada, japo na yeye alifanya kosa la kukubali kuingiliwa kinyume cha maumbile..
Japo amechelewa ila ni vyema akaomba talaka yake,kabla hajaletewa maambukizi nyumbani.
 
........very sad stori kama ni ya kweli, kilichobaki hapo nini yeye (mwanaume) kuliwa mtandao, awafaidishe na wenzake sio kila siku kufaidi yeye! anyway kuna siku atajua malipo ni hapa hapa chini ya jua,

Huzun!
 

Kama ndio ndoa za siku hizi ziko hivi; nasema l am more than happy kuwa mseja!
 
Pole zake mdada. Kuna wakati unafika maamuzi magumu ni muhimu sana! Sipati picha majuto aliyonayo mdada. Nadhani anatamani hata ardhi ipasuke afiche sura yake kama sio kupotea kabisa! Tigo katoa.., mume bado anatangatanga mtaani na bado anavumilia kisa watoto wasikose malezi ya baba! HERI UTUMWA KULIKO FEDHEHA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…