Uchebe nampenda sana, amefanya kitu ninachokipenda. Asisikilize kelele za majuha mjini wanaomkebehi..uchebe ni mwanaume wa kweli kwa alichokifanya.
Mimi namkubali sana hasa
1. Yeye ni mwaume mwenye upendo sana kwa mkewe kuliko hata wanaume walioko nchini, hapendi mkewe atende dhambi, anajitahidi kumrudisha mke wake katika njia zilizosahihi hata kwa maumivu, uchebe wewe ni mwanaume wa kweli. Wewe uko vyema sana unaokoa mke wako pamoja na familia kwa ujumla, hakuna atakaye kulindia familia yako wewe usipojaribu kuilinda
2. Wewe unajitambua kuwa ni KICHWA CHA NYUMBA, lazima familia iende sawa na wewe utakavyo...hata kwa bakora na kichapo. Nimekukubali sana usitishwe na kelele za majuha mjini huko wanaokukebehi. Uchebe atambue yeye ndiye mwanaume wa kweli na wa leo!!!. keep it up!!.