Dah Wachina noma!

Mbona na pua nayo kama imefanyiwa ukarabati,au ni macho yangu..!
 
Duuh. Ama kweli mchina kiboko.

Maana mdada kachongwa na hiyo yote ili tu afurahishe wanadamu. Aiseee.
 
kuwa na shape ya aina hiyo nina sawa na kuwa na utajiri wa masharti..ni swala la muda tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…