Dah wanaume taabu

ukitaka vijitoto ndio yatakukuta hayo ukimchukua mtu mwenye kazi yake na adabu zake hasemi upuzi huo...
 
ukitaka vijitoto ndio yatakukuta hayo ukimchukua mtu mwenye kazi yake na adabu zake hasemi upuzi huo...
Hivi sio vitoto ni vibinti vya chuo ndio vipo hivyo
 
Kuhonga 'kipaji'...kama huna we 'mezea' tu, usijitie kuchonga!
Hahahahaaa hii huwa haisebawi kama kuhonga ila inachukuliwa kama "responsibility" kwa mpenzi wako
 
Hahahahaaa hii huwa haisebawi kama kuhonga ila inachukuliwa kama "responsibility" kwa mpenzi wako

yaani mtu anakwambia 'ana dakika tatu u' na wewe
na we unaona ni responsibility?
ukisikia babu jinga ndo hii
 
yaani mtu anakwambia 'ana dakika tatu u' na wewe
na we unaona ni responsibility?
ukisikia babu jinga ndo hii
Hapo kwenye babu jinga umepatia kabisa maana watu wanaofanyiwa hivi lazima wawe wababu.........vijana hawafanyiwi haya
 
Wajinga ndio waliwao!! ........
 
I love you Sweetheart ila nilisahau kukuambia kuwa yule GF wa zamani amerudi na jana pia niliibiwa ATM card zangu na Tigopesa, M-Pesa, Airtel Money na EZY-pesa wameblock line zangu hii natumia landline kukutumia sms hii. Baba mgonjwa na tunamalizia jengo kule nyumbani il kama baba akifariki basi tuwe na mahali pazuri pa kupokelea wageni.
 
Chipsi kuku na hela ya saluni mwanaume anatoka jasho??
 
msharobaro mpoo?
Ndo mana vizee vinapendwa, hayo yote wanayaweza na zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…