Dah wanaume taabu

Hapo unakubali..ila kukuona labda mungu apende....
 
Hivi jaman inamaana me nahonga sana au?yaan hapo hata laki simalizi,hainisumbui kabisa,nadhani tatizo ni pale msichana anapotuma message kama hii kwa mwanaume asie na kazi au mwanachuo mwenzake.
 
huyo unamjibu bby tuongee kibiashara zaidi,basi weka fixed price ya hiyo kitu,ili niweke kwenye orodha yangu ya shopping kwa wiki!
 
Akitaka Vitz, unaanza kumnunulia Seat covers kwanza.

:loco:
Hahahahaaa halafu hizo seat cover anavalisha kwenye vile vitanda vyao vya hostel au?
 
Hivi jaman inamaana me nahonga sana au?yaan hapo hata laki simalizi,hainisumbui kabisa,nadhani tatizo ni pale msichana anapotuma message kama hii kwa mwanaume asie na kazi au mwanachuo mwenzake.
Khaaa hebu itizame vizuri hiyo message halafu ujaribu kuichambua neno kwa neno ndio utaielewa
 
 
 
Ukweli husemwa:


Kwanza maelezo kwenye huo ujumbe hayaeleweki vizuri.

Ukija kumuona muda gani ili awe na dakita tatu tu. Kama kuna ujumbe mwingine ingekuwa vizuri ukadondoshea ili tuweze kujenga picha kamili.
 
Vitoto noma sana hivi.....dah! Mi huwa naviogopa kama ukoma!
 
Lakini vina umuhimu wake,vinakupa kampani na kunguza msongo aw mawazo na kesho unaendelea na kazi vizuri
 
Umenikumbusha enzi zetu yaani watoto wa Msalato au JKT Makutupora wakifunguliwa wewe unanunua Orange Squash na maji km kindoo kido cha lita 10 halafu unachanganya wakija unawapa na biskut kazi inaisha, walikuwa ni bora lakini vituko hivihivi,'Enzi zetu hakuna vocha wala chips
 
ukiona hvyo ujue kuna mwenzio anafaid buree au anakula unavyohonga ww...............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…