Dah wanaume taabu

Hahahahahaaa umenikumbusha mbali kweli, enzi za Orange Squash!
 
shangaa sasa...!!
Hapo hakuna cha kushangaa, ni kwamba unatakiwa ulipie kulingana na bidhaa au huduma unayoipata. Kama hakuna proportional and equivalence lazima ulalamike..........vyoooote hivyo kwa dakika tatu tu?

Halafu hebu tufanye hesabu kidogo ili tujue hii invoice ina value gani kimsingi;
Vocha 5,000
Chips Kuku 4 (12,000 x 4) 48,000
Deni analodaiwa 35,000
Hela ya Salon 20,000
Total 108,000 Tshs

Kimsingi hii ndio thamani ya bill aliyopewa huyu jamaa kwa kuonana na kibinti for 3 minutes!
 
M'Jr sasa laki kitu gani bwana kama una shughuli?na ulimfatia nini mtoto wa kike kama unataka k tu afu unasepa,toa pesa wewe mwanamke huduma!!ungemuona kama si muonekano wake unaotokana na pesa?
 
Last edited by a moderator:
M'Jr sasa laki kitu gani bwana kama una shughuli?na ulimfatia nini mtoto wa kike kama unataka k tu afu unasepa,toa pesa wewe mwanamke huduma!!ungemuona kama si muonekano wake unaotokana na pesa?
Umenena vyema sana,

Kuna swali la msingi hapa. Ist a business or relationship? Kama ni business si lazima mkubaliane terms and conditions na ToR ili kujua majukumu ya kila mmoja?

Kama unakuwa na mwanaume kwasababu unategemea kupata pesa then thats not mahusiano thats purely business au sio?
 
M'Jr ikiwa ni rship au business mtoto wa kike matunzo basi,wewe kama unaona kutoa pesa kwa mdada ni ishu basi achana nae,ata ivo mahusiano ya vijana wengi wa kiume ni kibiashara zaidi wachache wanaoaza uhusiano na mdada kwa nia ya dhati na wala hutaona shida kutoa pesa za mboga km izo
 
Last edited by a moderator:
Okay hebu twende kwa concept ya biashara,

Whats the service there na kama ni product hiyo product ni ipi?
Who is a seller and who is a buyer here?
 
KWA SAA MOJA ITAKUWA 20X108,000=2,016,000Tshs
 
Dah mkuu, yamewahi kukukuta haya?
Mkuu unauliza ung'olewaji wa kucha na meno bila ganzi mabwepande? Wanaboa sana hawa, niliwahi kupata mwanachuo mmoja wa chuo kimoja kikubwa hapa bongo, kabla hata sijapiga penati mizinga kibao ikabidi nimpe, nilipopiga penati tu nikamkatia mawasiliano na SIM chip nikabadilisha.
 
Dah pole sana mkuu, lakini huoni kama ulijitesa pia? Kuna wataalam wa kuwakatia bila kubadilisha line ungekuja kuomba njia mbadala ya kumpotezea
 
Dah pole sana mkuu, lakini huoni kama ulijitesa pia? Kuna wataalam wa kuwakatia bila kubadilisha line ungekuja kuomba njia mbadala ya kumpotezea
Huwa sina kawaida ya kuwakatia line watu kama hao ila huyu aliniudhi sana kwa usumbufu wake wa kujiona matawi sana mtaani na kuomba vocha kila siku wakati simu mpaka nimpigie mm bana.
 
Huwa sina kawaida ya kuwakatia line watu kama hao ila huyu aliniudhi sana kwa usumbufu wake wa kujiona matawi sana mtaani na kuomba vocha kila siku wakati simu mpaka nimpigie mm bana.
Kwa hiyo kimsingi uliona ni biashara isiyokuwa na faida eeh?
 
ukiona hvyo ujue kuna mwenzio anafaid buree au anakula unavyohonga ww...............

mkuu Nambe nakusupport 100 va 100, mana sure inantokeaga san mm, yan unakuta dem anashare gud tm naww wakat kahongwa na ***** lngne huko.
Wakuu m2 acwadangany kuhonga co ujanja weng wanaohonga huwa hawapendw kwa dhat bal utakuta dem ana kajamaa kengne ka pemben kanapendwa knoma na kula gud tm nae bla garam yyte.
THS IS SURE THNG-ANAEBSHA ANPM NMPE EVDENCE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…