unamrushia vocha ya buku tu lol
dawa ya hawa 'chuna buzi type' usiwanyime kabisa
unawapa tu robo ya 'anachotaka kukuchuna'
hahah..ndo wanaume wa siku hizi mwaya!!
Dah mi nakubaliana na wewe kabisa mkuu "Mtu anayekupenda for real hatakuletea invoice kabla hajajua status yako financially, pili atakuwa anakushauri on development issues and not all spending za kipuuzi kama kwenye ka ujumbe hako"mkuu Nambe nakusupport 100 va 100, mana sure inantokeaga san mm, yan unakuta dem anashare gud tm naww wakat kahongwa na ***** lngne huko.
Wakuu m2 acwadangany kuhonga co ujanja weng wanaohonga huwa hawapendw kwa dhat bal utakuta dem ana kajamaa kengne ka pemben kanapendwa knoma na kula gud tm nae bla garam yyte.
THS IS SURE THNG-ANAEBSHA ANPM NMPE EVDENCE
Vitoto noma sana hivi.....dah! Mi huwa naviogopa kama ukoma!