Dah! Wauza Majeneza Muhimbili

Dah! Wauza Majeneza Muhimbili

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Leo nimepita Pale Muhimbili Wanapouza Majeneza Kuna Mmoja Nikasikia Anasema Urefu wa Marehemu Unafanana na Huyo Jamaa anayepita.

Dah! [emoji57][emoji57][emoji57][emoji19][emoji19][emoji21][emoji21]
 
Kwa maoni yangu kuuza majeneza hospitalini si sawa hata kidogo. Sijui ni nani aliruhusu wauza majeneza wafanye biashara hiyo hospitalini.
Leo Nimepita Pale Muhimbili Wanapouza Majeneza Kuna Mmoja Nikasikia Anasema Urefu wa Marehemu Unafanana na Huyo Jamaa anayepita Daaaah [emoji57][emoji57][emoji57][emoji19][emoji19][emoji21][emoji21]
 
Kwa maoni yangu kuuza majeneza hospitalini si sawa hata kidogo. Sijui ni nani aliruhusu wauza majeneza wafanye biashara hiyo hospitalini.
Kwangu naona ni sahihi
Kwani kuna uhusiano wa wao kusababisha vifo vya wanaokufa?

Kifo kipo tu na nahisi wao wanarahisisha kazi na upatikanaji wa karibu
 
Sijaona huu upuuzi katika hospital nyingi nchini. Hospital ibaki kuwa hospital tu pamoja na kuwa kuna kufa lakini hospital siyo sehemu muafaka ya kuuza majeneza.
Kwangu naona ni sahihi
Kwani kuna uhusiano wa wao kusababisha vifo vya wanaokufa?

Kifo kipo tu na nahisi wao wanarahisisha kazi na upatikanaji wa karibu
 
Kuuza Majeneza mbele ya Hospitali haileti picha nzuri na inamkatisha tamaa na kumuogopesha mgonjwa,

Pia ina ashiria kama vile Matibabu ya Hospitali husika hayaaminiki japo Kifo kipo kwa Binadamu.
Upo sahihi hii inakumaliza kisaikolojia....
kama ndio mgonjwa uliyebanwa kisawa sawa
 
Nachofikiri ni tofauti kidogo...
Sidhani kama kuna shida kuwa na biashara ya funeral homes karibu na maeneo ya hospitali .
Tatizo ni jinsi biashara hii inabyofanywa! Sidhani kama kulikuwa na ulazima wa kufanya display ya majeneneza tena kwa kuweka na vioo au kuyaweka kwa nje .

Tunahitaji kubadilika namna tunavyotoa huduma hii kwa wahitaji.
 
Back
Top Bottom