Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Leo Nimepita Pale Muhimbili Wanapouza Majeneza Kuna Mmoja Nikasikia Anasema Urefu wa Marehemu Unafanana na Huyo Jamaa anayepita Daaaah [emoji57][emoji57][emoji57][emoji19][emoji19][emoji21][emoji21]
Kwangu naona ni sahihiKwa maoni yangu kuuza majeneza hospitalini si sawa hata kidogo. Sijui ni nani aliruhusu wauza majeneza wafanye biashara hiyo hospitalini.
Kwangu naona ni sahihi
Kwani kuna uhusiano wa wao kusababisha vifo vya wanaokufa?
Kifo kipo tu na nahisi wao wanarahisisha kazi na upatikanaji wa karibu
Upo sahihi hii inakumaliza kisaikolojia....Kuuza Majeneza mbele ya Hospitali haileti picha nzuri na inamkatisha tamaa na kumuogopesha mgonjwa,
Pia ina ashiria kama vile Matibabu ya Hospitali husika hayaaminiki japo Kifo kipo kwa Binadamu.