ni rahisi sana na mimi nilishafanya hivyo na kumsaidia bbaba yangu kuandia yake.
tenga maisha yako katika miaka ya kumikumi na kisha miaka mitanomitano. kisha weka bulets za mambo muhimu katika kila kipindi, halafu unaunganisha kwa mtindo wa insha. it is done.
ni muhimu kwa kuanza iwe brief, baadaye uongeze iwe ndefu, na bbadaye tena ui-condense ndo itatoka vizuri.
pongezi kwa kutaka kuacha maandishi ya historia yako