Daily News: Huyo si David Mlingwa bali George Mlingwa

Daily News: Huyo si David Mlingwa bali George Mlingwa

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
16,419
Reaction score
26,594
20201201_084013.jpg


Hii picha imekuwa ikitokea karibu mara ya 20 sasa katika gazeti la Serikali "Daily News".
Mara ya mwisho imetokea jana 30th Nov 2020 katika ile sehemu "Down Memory lane".

Kushoto kwa aliyekuwa Rais wakati huo, Ali Hassan Mwinyi ni Nalaila Kiula, aliyekuwa waziri wa Ujenzi wakati huo.
Kushoto kwake Rais ni Dr George Mlingwa aliyekuwa Katibu Mkuu Ujenzi.

Naamini Daily News wametonywa mara kadhaa kuwa huyo Katibu Mkuu si David Mlingwa bali George Mlingwa.
Kukosea kunatokana na kutoelewa, lakini ukieleweshwa na kurudia rudia tena na tena kosa lile lile ni kitu kibaya na kisichoeleweka.
 
Hakuna uhakika wa hilo. Hawa ndio wanaita maandamano ni protests!
Ha ha ha
Picha ile ya "protests" za kuunga mkono, nilicheka mpaka basi.
Daily News wameajiri Form IV drop outs.
 
Back
Top Bottom