Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Mkuu utafikiri gazeti lenye heshima kama Daily News halina Proof Readers na ma Editor!Punguza jazba, kunywa maji Lijidu! π
Everyday is Saturday π
Lina heshima tangu lini mzee baba?Mkuu utafikiri gazeti lenye heshima kama Daily news halina Proof Readers na ma Editor!
Ndio kiranja wa magazeti mkuu, tuwape heshima hiyo!Lina heshima tangu lini mzee baba?
Hakuna uhakika wa hilo. Hawa ndio wanaita maandamano ni protests!Ndio kiranja wa magazeti mkuu, tuwape heshima hiyo!
Likiongea Daily News lazima liwe factual!
Ha ha haHakuna uhakika wa hilo. Hawa ndio wanaita maandamano ni protests!