Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Daily News leo, ukurasa mzima limejitapa na Bodi yake mpya iliyozinduliwa na Waziri wa Habari, Nape Nnauye.
Lakini ukurasa wa 6 kuna kichekesho cha kiingereza.
Nadhani Editor jana aliondoka mapema na hakuhariri.
Hivyo Bodi inapokelewa na hii heading
"Mikumi National Park- home of lion climbing trees"
Kwa uelewa wangu sasa tuna Mikumi yenye miti inayopanda simba!!!!!!