Je kuna linaloweza kufanyika hivi sasa kabla ya Oktoba kuzuia propganda za vyombo vya serikali kuipendelea CCM?
Sioni chochote kinachoweza kufanyika kuzuia propaganda hiyo kabla ya uchaguzi mkuu. Vyombo vya serikali, badala ya kuwa vyombo vya taifa lote pamoja na wapinzani who are an integral part of the nation kama Watanzania wengine, ni vyombo vya CCM.
We don't have an independent judiciary either, let alone electoral commission. Look at the recent ruling on independent candidates. Hata chief justice joined his colleagues, singing in unison, na kusema kwamba the issue had to be determined by parliament, yaani by CCM. So, where will you go to seek justice? Unaambiwa, by high court judges of all people, go and seek justice from the very same people you have taken to court ambao wanakuzuia to run as an independent candidate, instead of the high court itself dispensing justice. It is the job of the high court, NOT parliament, to decide the issue. But not in Tanzania.
Therefore when CCM steals the election, utaambiwa na CCM electoral commission CCM wameshinda uchaguzi. Unapokwenda kortini, utaambiwa na korti go to the electoral commission who have the authority to validate the outcome of the election they have stolen.
Huo ndiyo uchaguzi tulio nao Tanzania. And that is the kind of judicial system we have. Halafu unategemea watu kama hao - CCM electoral commission and judges who rule in favour of CCM - kusema Dr. Slaa ameshinda uchaguzi?
We may be the "sleeping" giant of East Africa. But when the giant wakes up, what happened nextdoor in Kenya after Kibaki stole the election will look like a kindergarten party.