Elections 2010 Daily News waendesha "poll"- Wao nao wataka kujua kama Dr. Slaa atashinda Urais!


Nashauri daily news waiondoe hii poll kwa kuwa tayari tumeshaipolute. Kitendo cha kushare hapa matokeo ya votes ni kuvuruga objectivity ya hiyo poll. Kwa kuwa hivi sasa mashabiki wa CCM wanaweza kuungana kuipigia kura CCM ili kuiongezea idadi. Likewise, mashabiki wa CHADEMA watataka kukipigia kura zaidi chama chao. Mleta maada alipaswa ahamasishe watu kupiga kura na si kuweka hapa matokeo. Hii poll ishakuwa poluted, haifai tena.
 
By the way, isn't there a something behind the curtails for daily news conducting hizi kura? Isije ikawa Daily newsni agent wa ccm kupima joto ili kufanya faulo.
 
ushauri huu ungewapa daily news ambalo ni gazeti la serikali waache kubip watu.
 
haipo hata kukienda kama invisible unavyoelekeza
 
Poll yenyewe sio kitu si lolote- angalia hapo chini

Politicians defecting to other political parties after not being nominated in their parties:
Are just after political power
Do not know politics as it needs patience
Are not partisan to their party’s ideology
Are doing the good thing for their voters
Are practicing their right in a democratic country
 
Mbwa hawezi kumng'ata bwana wake na akifanya hivyo ujue ana kichaaa, hivyo bwana wake atampiga risasi.. Daily news, TBCs wote hao bwana wao ni CCM!
 
Daily News kweli wameshikwa pabaya kwani poll waliianza na kuiendesha wao wenyewe na sasa eti wanaikana kwa sababu matokeo yake yaliwashtua na hawakuyategemea. Synovate nao kama Daily News wanayakataa poll yao bila shaka yoyote kwa shinikizo kutoka CCM baada ya kuona maji yako shingoni na wananchi kuonyesha kuwachoka. Hata hivyo CCM wajiandae kwa mshtuko mkubwa zaidi mbele ya safari na kilio kitakachofuata baada ya October 31 !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…