Daima mbele Nyuma Mwiko Tunahitaji kwa Vitendo kwenye Dimba la Mkapa

Daima mbele Nyuma Mwiko Tunahitaji kwa Vitendo kwenye Dimba la Mkapa

Smart codetz

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
218
Reaction score
875
Bila huyu Mwamba jana Zingefika 5 😁 Wananchi.

Kama kawaida ya Wananchi uwezi kuwashinda vyote Wameupiga mwingi sana mpaka waarabu wakaomba pooooh!
Safiri hii kwa mkapaka hatudondoshi hata nusu point ile kauli ya Daima mbele nyuma mwiko sasa ndo wakati sahihi kuitumia kwa vitendo zaidi
06EC0303-6FCB-40AE-9AD0-C2640C7AE446.jpeg
o
 
Hahahaaa,,.... Hii Yanga tigo pesa kwa ligi. Huko CAF hakuna mabeki wa kujifunga na makipa kuruhusu magoli ya ajabu ajabu.

Mle hamna timu ya kimataifa. Mtamfunga Nani?
Jana umechek game na ule mpira wa adhabu wa aziz ki uliuona kwa makini na jicho la kimichezo?
 
Back
Top Bottom