Smart codetz
JF-Expert Member
- Jan 25, 2023
- 218
- 875
Yanga hii sio Ile tuache kuhishi kwa mazoeaTp mazembe atajilia kote kote.
Yanga hii sio Ile tuache kuhishi kwa mazoea
Raja anaanzia nyuma kuja mbele.Tp mazembe atajilia kote kote.
Kwenye ule mwiko wenu sio?
Yaani atakula mbele na nyuma mwiko?Tp mazembe atajilia kote kote.
Hahahaaa,,.... Hii Yanga tigo pesa kwa ligi. Huko CAF hakuna mabeki wa kujifunga na makipa kuruhusu magoli ya ajabu ajabu.Yanga hii sio Ile tuache kuhishi kwa mazoea
Jana umechek game na ule mpira wa adhabu wa aziz ki uliuona kwa makini na jicho la kimichezo?Hahahaaa,,.... Hii Yanga tigo pesa kwa ligi. Huko CAF hakuna mabeki wa kujifunga na makipa kuruhusu magoli ya ajabu ajabu.
Mle hamna timu ya kimataifa. Mtamfunga Nani?