Daima nitamuheshimu mwenye phd "ya kuipambania", kina Musukuma, Babu tale na wengine waliopata phd "ya kupewa" watulize mshono .

Daima nitamuheshimu mwenye phd "ya kuipambania", kina Musukuma, Babu tale na wengine waliopata phd "ya kupewa" watulize mshono .

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
1676025304609.png

na ndio maana hata huko nje hata mtu akichangia ujenzi wa jengo la chuo, akitoa speech, akihudhuria tukio, n.k. "anapewa" phd "ya kupewa" lakini huji kuja kumsikia anajiita doctor, anajua kabisa kwamba huo udokta aliopewa hauwezi kufikia hata asilimia 5 ya ule wa kuupambania academically darasani.

PHD YA KUPAMBANIA.

-Ni lazima uwe umefuzu darasa la saba, form 4, form 6 / Diploma, Degree na Masters, uwe umepita kote huko ndiyo utaweza kwenda kusomea PHD, hakuna shortcut rahisi rahisi.

-mtu tangu aingie chuoni kusomea taaluma akiwa undergraduate hata akiunga inamchukua hata miaka 10 kupata hio phd, ni shuguli pevu si kitoto. katika suala la kujifunza kapiga msuli kubukua vitabu, kafanya discussions na wenzake, kasolve maswali, kahudhuria lectures. Tukija katika suala la kupimwa kashafanya test za kila baada ya miezi miwili, kafanya individual assignments, kashiriki kwenye group assignments, kuna presentation, kufanya research, kutetea thesis, kwenda training za vitendo, kuandika ripoti, n.k. huo upimaji wote inakusanya maksi 40 hadi 50 tu yani hapo bado kuna mtihani wa mwisho final wenye maksi zilizobaki, ukifeli kuna supp, ukilefeli tena ni carry, ukishindwa huna chuo....

-Alafu kweli mtu aje kirahisi rahisi tu anajitutumua kujiita doctor kisa kapewa na chuo flani hahahaha!! hebu nicheke tu,

Phd ya kupewa hata kwenye cv huwa inawekwa kwenye tuzo na si vyeti official vya academics ama profession
 
View attachment 2512507

na ndio maana hata huko nje hata mtu akichangia ujenzi wa jengo la chuo, akitoa speech, akihudhuria tukio, n.k. "anapewa" phd "ya kupewa" lakini huji kuja kumsikia anajiita doctor, anajua kabisa kwamba huo udokta aliopewa hauwezi kufikia hata asilimia 5 ya ule wa kuupambania academically darasani.

PHD YA KUPAMBANIA.

-Ni lazima uwe umefuzu darasa la saba, form 4, form 6 / Diploma, Degree na Masters, uwe umepita kote huko ndiyo utaweza kwenda kusomea PHD, hakuna shortcut rahisi rahisi.

-Katika mlolongo wa elimu hio mtu anapoanza kusomea taaluma yake chuoni kuanzia diploma au degree mpaka afikie phd huwa ni shughuli pevu si kitoto, mtu kapambana vibaya mno akiwa chuoni kwa miaka 7 hadi 10, katika suala la kujifunza kapiga msuli kubukua vitabu, kafanya discussions na wenzake, kasolve maswali, kahudhuria lectures. Tukija katika suala la kupimwa kashafanya test za kila baada ya miezi miwili, kafanya individual assignments, kashiriki kwenye group assignments, kuna presentation, kufanya research, kutetea thesis, kwenda training za vitendo, kuandika ripoti, n.k. huo upimaji wote inakusanya maksi 40 hadi 50 tu yani hapo bado kuna mtihani wa mwisho final wenye maksi zilizobaki, ukifeli kuna supp, ukilefeli tena ni carry, ukishindwa huna chuo....

-Alafu kweli mtu aje kirahisi rahisi tu anajitutumua kujiita doctor kisa kapewa na chuo flani hahahaha!! hebu nicheke tu,

Phd ya kupewa hata kwenye cv huwa inawekwa kwenye tuzo na si vyeti official vya academics ama profession
Tofauti ipo wapi?
 
Back
Top Bottom