Daima penda usisubiri kupendwa

zukuboy

Member
Joined
Aug 26, 2009
Posts
25
Reaction score
4
mimi naamini katika mahusiano ya mapenzi usiangalie kama mpenzi wako anakupenda bali wewe kama umemchagua mpende kwa moyo wako wote na yeye atakuchukulia hivyo
Daima muamini na si yeye akuamini wewe maana hauwezi kuujua moyo wa mtu.
Muheshimu mpenzi wako na yeye atakuheshimu hivyo hivyo.
Kwa kufanya hivyo mapenzi yenu yatadumu milele
 
Mimi mara nyingi sana napiga hesabu za tabia kabla ya kupenda.

Yani nikisha ona tabia yake nzuri na tazama sasa family yake kabla ya tabia yake, na hasa na tazama wajomba zake....nikiona wajomba zake washenzi....napiga break nawacha wengine wa overtake.

Mimi ni Tabia+Family yake+uzuri kama anavyo hivyo basi anakuwa mke wangu.

Afu mwanamke anampenda mwanaume kitandani dogo, kama unapiga goli katika dakika 50 kwenda juu kama sisi hata shakira ata surrender kukata kiuno atasema hapo kafika.
 
Zukuboy!! Mtaalamu waa mambo ya Mapenzi,nimekuelewa japo robo robo...
 
sijakuelewa unaamini vipi ukapenda bila kuwa na uhakika kuwa umependwa? je kama umetamaniwa hamu ikiisha akumwage mi sikubaliani na wewe jambo la msingi mchunguze kapenda kweli au tamaa tu?
 
kupendwa ni tendo lililopo ndani ya nafsi ya mtu mwingine

play your part, penda kadri uwezavyo
 

mkuu king'amuzi chenu kuna channel ngapi? huku mikoni vimefika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…