Daimond akiri kutoka na Jokate!

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
56,205
Reaction score
79,515
Akichezesha taya na mwandishi wetu wa GPL, platnum aka sukari ya warembo alikiri kwamba anatoka kimapenzi na mchuchu huyo(Mamaa wa kidoti), diamond alisema anampenda na hakuna kitu kitachoweza kuwaachanisha!

Source:Gazeti La Ijumaa(GPL)
 
Huyu nae kwa wema nae alisema ivyo ivyo! Me nawatakia kila la kheri
 
huyu nae domo kubwa kila siku yeye tu hebu atutokee huko
 
Achukue time, domo kubwa kama firigisi. Hata akitoka na kichaa atasema hawaachani.
 
Mnasemaga hemed ana masifa,ila hamkutii huyu chai jaba,asa ye anaona ufahali kutembea na hao malaya waliokubuhu kama akna jokate?
 
Duuh na cjui anaimba aina gani ya mziki
 
Domo Kaya.....Chai Jaba!!limbukeni!!huyo wala hatamuweza kama Wema pia sio type yake!!!
 
Mangurupembe yametumika watu wakibeba huwa wanauchuna sasa yeye anatangaza, wakati yule unafanya reservation ya hotel room anakukuta, unakung'uta unatoka kama hamjuani. Mwache aendelee bwana chai jaba na utoto wake zile hata sio size yake kabisa. Mwenzie Hashim aliona mbali akasepa.
 
Mnasemaga hemed ana masifa,ila hamkutii huyu chai jaba,asa ye anaona ufahali kutembea na hao malaya waliokubuhu kama akna jokate?

mwache wamtumie akiishiwa wakae pembeni wanamchora yaani ye kila mwanamke anasema anampenda sana yaan linanikera ili jitu kweli ushamba mzigo!
 
wakuu mbona hasira hivyo hadi mnamwita mwenzenu chai jaba!
 
Ha ha haaaa umenikumbusha Zay to the B mwanadada gaidi Domo kama chai Jaba! Chai Jaba aangalie sana maana hawa watoto wanajua kutumia pesa kweli wasije kumbemenda accounts zake si umeona FA,mtoto wa kimei,hasheem wamelamba waksepa sasa huyu chai jaba anataka aweke kambi,ila wadada aliowapitia wanadai jamaa ana mguu wa mtoto.
 

mguu wa mtoto ndio ukoje uo mkuu??
 
Huyu dogo naye hamnazo kweli. Kuna mambo watu hawasimulii barabarani. Watu wanazipenda zile lips na nasikia machine nayo ikiwa kwenye free fall ni inch 12. Ikijaa damu inakaribia inch 15...hayo ni maneno tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…