Daimond Platnumz aonyesha muendelezo wa moja ya Nyumba zake

siamini kama kuna mtanzania ana amini zari ana mimba ya diamond na ile nyumba ya juzi ni ya diamond....mwenzenu anajua kucheza na media hata kwa info za uongo
 
Kujenga nyumba ni dalili za uoga, kuishi kistaa ni lazima ukae mjini, hata hivyo dogo umejitahidi kujenga nyumba kumi sio mchezo nafikiri hata benadi Membe hana idadi hiyo. Yaani kumi mara mil mia 2 = bil 2 ????
 
Kujenga nyumba ni dalili za uoga, kuishi kistaa ni lazima ukae mjini, hata hivyo dogo umejitahidi kujenga nyumba kumi sio mchezo nafikiri hata benadi Membe hana idadi hiyo. Yaani kumi mara mil mia 2 = bil 2 ????

Utaambiwa una wivu na wewe.

Lakini hiyo ya nyumba 10 umeiamini kweli?
 
Una nyumba 10 mjini,akaunti inasoma 10 digits,unamiliki mwanamke mzuri kuliko wote east Africa,kijana tajiri kuliko wote Tz below 25 of age,mtanzania maarufu kuliko rais wa nchi,passport imechafuka kuliko waziri wa mambo ya nje,ikulu unaingia unavyojisikia......
Ndio maana diamond nakuchukia sana haiwezekani upate haya yote katika umri wa miaka 25
 
Una nyumba 10 mjini,akaunti inasoma 10 digits,unamiliki mwanamke mzuri kuliko wote east Africa,kijana tajiri kuliko wote Tz below 25 of age,mtanzania maarufu kuliko Rais wa nchi,

Passport imechafuka kuliko waziri wa mambo ya nje,ikulu unaingia unavyojisikia.Ndio maana diamond nakuchukia sana haiwezekani upate haya yote katika umri wa miaka 25
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…