Labda msanii gani kaweka Picha ya choo, hahahha na kulazimisha ni cha dola kadhaaa hahaha ushamba bana. Mwambieni mafanikio yatajionyesha yenyewe asilazimishe la.sivyo anaonekana chicken tu, ajifunze kutoka kwa kina AYYYYYYY NA PROF J,
Badala ya kujifunza kwa AY au Profesa J kutoonesha choo cha home kwake, yeye ameamua kujifunza kwa Kanye West:
Gild The Throne! Kanye West and Kim Kardashian flush nearly $1 million on gold plated toilets for their new Bel Air mansion:
Umesema vyake sio? Sasa matangazo ya nini, he is insecure! Thats it.
Kama kuonesha chako mtu ni feeling of insecurity, nyumba ya role model wako, Profesa J, hii hapa:
View attachment 237581
View attachment 237583
Role model wako, ambapo kwa mujibu wa maelezo yako mtu kuonesha kilicho chake ni dalili ya feelings of insecurity, ametuonesha hadi sehemu anayolala:
View attachment 237584
Na kwa kukuonesha sio kwamba hizo picha zilipigwa kwa siri bila Prof J mwenyewe kufahamu, Pof mwenyewe huyu hapa:
"hii nyumba nimeanza kuijenga wakati nimezidiwa pia na ujana mwingi, nilikua napata kiasi kikubwa sana cha fedha lakini nilikua nashindwa kumanage zile hela, kama unavyoona vijana wengi sana sasa hivi, watu wanapata sana hela, tunapata hela sana kwenye matamasha, albums, huwa tunasema sio hela zinazotosha lakini ni hela nyingi kwa mtu ambae akizihesabu, kwangu pia kusave hela lilikua tatizo kubwa sana" ameamplfy Profesa Jay Prof alianza kuijenga hiyo nyumba zaidi ya miaka mitano mpaka sasa hivi, ipo MBEZI ya KIMARA"
Narudia swali langu la awali: Ina maana wewe hii ni mara yako ya kwanza kuona celebrities mbalimbali duniani wakionesha nyumba zao?
Cristiano Ronaldo villa
RONALDHINO'S HOUSE
<strong>
Take A Look At Davido's Multi-Million Naira Mansion in Lekki
Take A Look At Davido's Multi-Million Naira Mansion in Lekki | Beanball Media Blog
Dr. Dre Just Bought the Brady/Bundchen Mansion for $40MM
Kwako wewe, Diamond ni mshamba, mwanaume mzima anaringishia jiko! Mshamba mwingine Dr. Dre huyu hapa:
Hivi hiyo avatar yako ni ya celebrity gani? Sio huyu hapa?
Kwahiyo hao wote ni washamba na wewe ndio mjanja sio? Au hao wengine wote ni wajanja lakini Diamond ndio mshamba sio? Namalizia kwa swali langu lile lile la awali, Ina maana hii ni mara yako ya kwanza kuona picha za mali zinazomilikiwa na celebrities duniani??