Daimond Platnumz aonyesha muendelezo wa moja ya Nyumba zake

aache bifu na wanawake kila siku??? come again!! toka awe na zari umeshamuona akihangaika na nani mwingine tena??? alafu unauchungu na pesa zake kiasi hiki??? are u like serious thinking of were to put his money this hard??? what is best for you is that what is best to everyone?? give him a break dude!!!
 
Sema wewe nikisema mimi naambiwa mchawi
Mpwa mimi na wewe tumeongea haya kwa muda mrefu kiutani zaidi... sasa unam-support huyo jamaa ina maana na wewe unaamini kwamba mie Diamond ni bwana angu sio?
 
Kama wanahesabu wenyewe ndo hawa wasiojua lugha itachukua muda sana kwa tz kuendelea.yani kaja kwa mkwalaaaaaaaaa kumbe hata hajui nn anakiandika nahisi hata hayo sijui cubic sijui density kwakuwa hatujui wengine navyo katudanganya tu
 
hii yote inatokana na kuzidiwa maisha na mtoto wa 25 yrs mzaliwa wa tandale... ambae anaingia ikulu kama chooni.. passport imejaa mihuri ya safari za kimataifa.. milion 10 kwake anaipata kwa perfornance ya masaaa tu.

sasa ukijilinganisha nae wewe mtu mzima bado unapanda daladala.. nyunba ya kupanga unaishi.. bado bosi anakufokea kazini.. hapo lazima umchikie diamond platinum..

iwe choo cha dhahabu au cha shaba ni maisha yake binafsi..
 
Wanaojua kizungu tafadhali

Sikubaliani hata siku moja, hizo decorative ni za kichina hata kama ni rangi ya gold haimaanishi kuwa ni gold, wasanii kwa kutaka sifa???
 

Diamond.ana miaka 25??? ahahahahhahaha basi mi nina miaka 12 aseh....
 
Mtashindwa na mtaregea Daimond foreverr na badooooo mlisema kapanga supasta gani kapanga,leo kahamia kwake hamuaminiiii ushwiiiii

hahahahaaaa umeonaeee leo kahamia kwake eti kakufuru, wachawiii hawaaa!!! washindwee, kabla hajamaliza nyumba walisema star mkubwa hivi anapanga?? anapeleka wapi pesa za show asimalizie nyumba yake?? leo kamalizia wanaanza hadithi mpya, kumbuka kuna leo na kesho pesa nyingi hivyo unafanyia showoff, Mr. nice anakungoja kijiweni, SASA NIWAAMBIE KITU NYIE WITCHES MWAMBIENI MR. NICE AONGEZE KIKOMBE CHA KAHAWA NA KASHATA KWANI DIAMOND ATACHELEWA SANAAAA KUMFUATA.
 
Kuna mijitu inamisumari ya moto iliyojaa chuki kooni hadi taaluma na weredi wao wanauweka kando kwa muda ili lijaribu kutema chuki zake lipate nafuu ya muda.Kiasi kwamba halisikilizi/halisomi hadi mwisho likaelewa,au GOLD PLATED ndo inakusumbua hebu google hilo neno kama hajui maana yake
 
Nina wasiwasi na mahesabu ya mtoa mada maana kwa gram moja kwa bei ya sonara haizidi laki 2 sasa inakuwaje gram 31 iwe sh mil 206??? Afanye mahesabu yake upya.
 
"kwa kuongeza sifuri mbele hilo mna ujasiri hata choo cha milioni mbili utasikia milioni 70"

#Zitto
 
Ebwana eeeh mkishamaliza kujadili kitaalamu, mtujuze sisi wengine tunasubiri. Mi nipo hapa nje kibarazani nasubiri hitimisho la hii mada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…