Daimond Platnumz aonyesha muendelezo wa moja ya Nyumba zake

Yote sawa,
Hayo mapesa ya kuchezea source ni muziki pekee?
Hakuna harufu ya Sembe hapo?
 
Mpwa mimi na wewe tumeongea haya kwa muda mrefu kiutani zaidi... sasa unam-support huyo jamaa ina maana na wewe unaamini kwamba mie Diamond ni bwana angu sio?

Achana na hao mapunga Mkuu,, wapuuze.
 
Maskin umehangaika kugoogle weeee ili kuprove bwana wako si mshamba! hahahhaha narudia tena mtoto wa tandale mshamba! Ndo mana wazungu wana kimsemo cha maudhi kuwa" hayo ni matokeo when monkeys get moneeeee" sasa naelewa


yani we kalio kalio,,,,,,,,!!!!!
 
Mbona mi naona aljazeera kila siku kua ounce of gold haizidi $1200!au troy ounce na ounce kuna utofauti?
 
Bei ya dhahabu Tanzania inashangaza sana. Inakwenda sawa na mnada wa Uingereza.

Sasa kwa bei hiyo, halafu mtu anunue na alipe ushuru 4% anakuwa kashazidi bei ya mnadani.

Sidhani kama mtu wa UK atanunua na alipe kodi maana atakuwa hajui kupiga hesabu.

Asante kwa mkokoto huu Mkuu, maana mwanzo nilifikiri jamaa wanadanganya.

Duniani kuna vitu ghali sana. Angalia TV ya 85" kampuni ya Bang & Olufsen, bei ni Euro 50,000 na unahitaji kama Euro 20,000 vikolombwezo kama spika zake, stand yake na miwani ya kuangalia 3D.......




Soma hapa: http://www.flatpanelshd.com/article.php?subaction=showfull&id=1308308891

Kwenye bei ya dhahabu nadhani pamekosewa,
Gm 1 = 70,000 - 80,000/- Tsh.
Ikg = Mill &70 mpaka 80,000/- Tsh.
Mwaka jana mwishoni ilishuka mpaka 55 mill Tsh. kwa Kg
Kwa kununulia hapa Tanzania,
Sasa tuanzie hapo kukokotoa mahesabu yetu
 

Ha ha ha ha ha...ndugu umenichekesha sana...


mleta maada aristotal sijui sijui anaitwaje alishawahi kusema "small minded discuss people"
sioni haja ya kumjadiri diamond na mali zake labda angepata pasipo halali labda...

mwache brother wangu ale maisha amehangahika amechakalika amepata na anaendelea kupata ujira wake....

Tuwe wepesi kujifunza mafaniko ya watu ili yatusaidie nasi tuweze kufanikiwa badala ya kuwazungumzia na kuwaponda...

workhard silent and let the success explain.

ni hayo tu
 
-Nafikiri kwa mwanaume kutaka kujua saaana issue za dume mwenzio tena kwa kudis sio poa, ni Aibu

-mkuu hiyo pic ya diamond akiwa dogo ni ya nini?
 
kwel kabsa mkuu
 
Kuna watu wana mahaba na Diamond humu, alichukia gari la chief Kiumbe wakalithaminisha kwa 250ml. Akashindwa kulipa mwenyewe akalichukua juzi kuna uzi humu Masanja mkandamizaji ana gari kama lile lile wamelithaminisha kwa 75ml kwa kuwa tu siyo la Diamond.
 
Hata kama amedanganya ila katengeneza vizuri!

But duuuuh....chumba cha choo mil 70?? Hiyo itakuwa kitaalam zaidi na huenda imedizainiwa kwa kuweka vitu tofauti tofauti mbali na zile toilets tulizozizoea
 
Nina mashaka na ukokotozi wa mleta mada, kwa milioni 70 bei ya dhahabu ya sasa ni kilo moja nasio 10 grm

huku mapolini tunanunua gram moja ya dhahabu kwa 50000!!town uko unaifaulisha kwa 63000 adi 70000!
 
Maskin umehangaika kugoogle weeee ili kuprove bwana wako si mshamba! hahahhaha narudia tena mtoto wa tandale mshamba! Ndo mana wazungu wana kimsemo cha maudhi kuwa" hayo ni matokeo when monkeys get moneeeee" sasa naelewa
Hivi mimi na wewe ni nani anaonesha dalili za kuwa choko?
  • Kwanza unaonekana ni mtu mwenye wivu na mafanikio ya wenzako! Mwanaume hawezi kuwa na wivu na mafanikio ya mtu mwingine hata siku moja bali mafaniio ya mwingine kwake yanamu-inspire lakini wanaume ambao kimsingi ni punga, lazima wawe na wivu dhidi ya mafanikio ya wenzao! Kwa kigezo cha kujawa na wivu, una sifa zote za kuwa punga and am certain utakuwa punga tu wewe!
  • Hebu angalia avatar yako! Yaani mwanaume unaweka avatar ya mwanaume mwenzako? Mbaya zaidi unaweka avatar ya mtu ambae nae pia inasemekana ni choko! Huwezi kuweka avatar ya mtu anayehisiwa kuwa choko kama na wewe mwenyewe sio choko!
  • Hebu angalia hilo jina unalojiita! Mwanaume unajiita unanitaka? Sawa, watu wanakutaka kwa sababu wajanja tumeshakushtukia kwamba we ni chakula! Hivi we mzima kweli wewe?Tena unajiita unanitaka huku ukiwa umeweka avatar ya mwanaume aliyebinua midomo, mwanaume mwenye tuhuma za kua gay!Mwanaume hawezi hata cku moja kuweka avatar ya mtu anayehisiwa kuwa chakula unless kama na yeye anzibuliwa mfereji wa taka ngumu ni chakula!
  • Ushahidi mwingine kwamba we jamaa ni punga huu hapa, ukikutana na wenzako hizi ndo stori zako:
    Hahaaaaaaa hapa unaonekana wewe ndo limekugusa na chuki zako, shida zao wewe zinakuhusu nini. Wewe ulikuwa marioooo umetemwa sasa unachukia wanawake wote hahaaaaaaaa. Pole
    Ni mwendawazimu tu ndie anaweza kuamini kwamba mwanaume aliyekamilika anaweza kuongea hivyo!

Avatar zako zingine hizi hapa:


 
Last edited by a moderator:
Diamond.ana miaka 25??? ahahahahhahaha basi mi nina miaka 12 aseh....

we mimi niache kidogo nashuka ubungo we endelea na safari diamond ana miaka 25 mzee kabisa ambaye yupo kwenye 30's tusiaminishane huu ujinga
 
Tangu living legend wa music wa Tz Diamond plutinumz apost picha ya toilet lenye dhamani ya 70 million,watu wengi kupitia mitandao ya kijamii hasa wale haters wamekua wakimponda diamond kwamba anachosema sio kweli ukizingatia dhamani ya gold kwa saa kuwa juu sana.
lakini watu wasichokielewa kuna tofauti kati ya PURE GOLD TOILET na PURE GOLD PLATED TOILET.
Pia kuna tofauti ya GOLD-PLATED na GOLD-FILLED.
Mimi si mtaalamu wa masuala ya gold ila kwa elimu yangu ndogo ya chemistry mpaka form six ninaweza kutofautisha.
Gold plated by definition is a method of depositing a THIN LAYER of GOLD onto a surface of another metal by chemical or electrochemical plating.
Au unaweza kudefine gold plated as a method of covering another type of metal with a very THIN film of PURE GOLD by electroplating.
Nitaendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…