Yes indeed, Mashindano ya Dakar yaliondoka Afrika mwaka 2008 kwa sababu za kiusalama na matishio yaliyokuwa yakitolewa nchini Mauritania.Nasikia hii Dakar Rally imebaki jina tu Dakar lakini haipitii Senegal tena!
Waliofariki ni Waperu wawili, dereva wa taxi na abiria mmoja, ajali hiyo ilitokea baada ya taxi hiyo kugongana na gari la waingereza aina ya Land Rover(Race2Recovery). Aidha waingereza kadhaa wamejeruhiwa na sasa wanapata matibabu hapo Lima.nasikia kuna waingereza wamefariki kwe hizi rally nini kilisababisha ajali yao... Kibunango